Kifurushi cha AfyaCall
TZS 150 kwa siku
Chati na Jali saa 24 hapa na WhatsApp, pamoja na vidokezo 2 vya afya kila siku. Unaweza kusitisha wakati wowote.
Dakika za daktari kwa simu
Ongea na daktari kupitia 0900 011 111. Dakika zinadumu siku 7.
Video
Ana kwa ana kwenye simu yako, bila kupakua programu.
Simu ya WhatsApp
Piga AfyaCall kwenye WhatsApp: +255 797 018 034
Mashauriano yangu
Dawa ulizoandikiwa, fomu za maabara na majibu yako.